Kuna baadhi ya wanawake ambao wana tabia ya kuanika mambo yao yote ya nyumbani..hasa kuhusu mabwana wao kwa shoga zao. Je, jambo hili hujenga au inabomoa familia?
Dr Kumbuka na Mariam wanazungumuzia jambo hili katika #MIZANIYAUSHAMBENGA leo saa 1 Usiku ndani ya DStv160 pekee!