Logo
slim
channel logo dark

Maisha Yangu

160RealityPG13

Mwanariadha maarufu Stephen John Ahkwari — Maisha Yangu

Habari
27 Februari 2019
Shujaa John Ahkwari amepitia changamoto nyingi sana maishani.
john ahkwari, mwanariadha mashuhuri tanzania

Licha ya kupata heshima kubwa sana ulimwenguni, John Stephen Ahkwani alikumbana na vikwazo ambavyo  vilimzuia  kufaidi matunda ya kazi kubwa alizoifanya.

Alizaliwa mnnamo mwaka wa 1938 huko Tanzania. Kumbukumbu yake ya utoto ukulikuwa kawaida. Kila alikuwa akitoka shuleni, alikuwa anapeleka ng’ombe malishoni na kuchota maji pamoja na watoto wengine wa Kijiji.

Alianza rasmi kuwa mwanariadha baada ya kushiriki katika kumbumbukumbu ya michezo ya Malkia Elizabeth. Aliingia uwanjani na akakutana na mwana riadha ambaye alikua mkuu wa wilaya. Akaomba kushiriki katika shindano na kati ya watu 70 walioshiriki alimaliza katika na nafasi ya 40.

Tazama highlights hapa:

Baadaye wakapewa soda ya Coca Cola ambayo ni zawadi ambayo wana Kijiji hawakuwahi pata. 

Mwaka uliofata, aliweza kushiriki tena katika shinando hio na aka kuchukua nafasi ya kwanza.

Gallery

Baada ya hapo aliendelea kupanda ngazi ya ushindi na hivyo kujulikana kama mwanariadha mashuhuri nchini Tanzania na ulimwenguni.

Kila kuna stori tofauti za kusisimua. Jiunge nasi kila Jumanne saa 3:30 usiku ndani ya DStv 160 pekee!