Logo
madhu
channel logo dark

Madhubala

160DramaPG13

"Nitafuata taratibu zote ili nikufurahishe" — Madhubala

Habari
01 Februari 2020
...RK amuahidi Madhubala.
"Nitafuata taratibu zote ili nikufurahishe" — Madhubala

Bado masaa machache tu kabla ya harusi ya Padmini and Malik. RK anapatana na Madhubala na RK anamuahakikishia Madhu kwamba ako tayari kufanya lolote ili kumufurahisha. Anamuahidi hivi wakati watapo zunguka duara:

  • Katika duara kwanza: Madhu atapata mapato na chakula
  • Duara la pili: daima watasaidiana na kujipa nguvu
  • Duara la tatu: mke na mume daima wata ongozwa na dini
  • Duara la nne: mke na mume wata hakikisha kwamba nyumbani mwao kuna furaha

Gallery

Kwingine, Padmini anajitayarisha kwa ajili ya harusi yake na Malik. Rishu anamtuza bangili na mkufu. Wakiwa mle ndani kwa nyumba, mtu anagonga mlango and wakati wanapo fungua, huyo mtu amebeba shada la maua iliyo andikwa BSC. 

Hapo basi Roma anashikwa na wasiwasi na kutaka kujua BSC ni nani. Je, uchunguzi wake uta fua dafu?

Usikose kutazama Usikose Madhubala kila Jumatano na Alhamisi saa 12 jioni.