Kama ulikosa kutazama Madhubala hujapitwa. Kwa ufupi hapa ndipo mambo imefikia.
- RK anamshangaza Madhubala kwa makavu aliyompa Dipali, Madhu anauliza kwa nini alifuta kesi anakiri kinamuuma sana.
- Furaha ya mzazi daima ni kuona watoto wake wanafuraha!! Faraja aliyoipata Padmini kutoka kwa RK inamtia moyo kwamba Madhu hatimaye yupo katika mikono salama je Radha na wenzake watafanya nini?
- Madhu mfungo unamlemea anazimia, mumewe RK mapenzi kama yote anamchunga mke waake mbaka Asubuhi , Radha na wenzake wanabaki midomo wazi
- Kwenye #Madhubala Wake wa familia nzima wanafunga kwa ajili ya waume zao, Madhu kakiuka maagizo ya mume wake kafunga, RK kagundua .
Haya ni maoni ya mashabiki wa Madhubula kuhusu kipindi.
Usikose Madhubala kila Jumatano na Alhamisi saa 12 Jioni kupitia DStv160 pekee https://bit.ly/2X8u281