Logo
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki13

Waigizaji wa Maisha Magic Bongo wenye vipaji vya kuimba  – Kumi za Wiki

Habari
29 Oktoba 2021
Vipaji vya waigazi wetu vimesambaa kwenye fani tofauti nchini
Untitled design (6)

Waigizaji wa thamthilia za Maisha Magic Bongo wamebarikiwa na vipaji vya aina tofauti ukiacha uigizaji. Ndani ya muziki wa Bongo Flava wanaongoza na mara kwa mara unaweza kuona nyimbo zao zikivuma ndani ya #MMBKumiZaWiki. Hapo chini ni orodha ya waigizaji wa tamthilia za Maisha Magic Bongo wanaofanya kazi nyingine kwa bidii pia:

 

  1. Nandy

Ukiachana na ugomvi wa Nandy na Doris juu ya Roy ndani ya #MMBHuba, Nandy ni mwamuzikizi bingwa ndani ya bara la Africa. Ndani ya kipindi cha Huba, Nandy anaigiza kama mwenyewe na huagana anaimba mara kwa mara.

  1. Ben Pol

Ben kama Ben anajulikana kama boyfriend wa Brenda ndani ya #MMBPazia, ukiacha jinsi alivyomthurumu Brenda pesa. Ben pia alionyesha kumpenda Brenda sana, ingawa washabiki wake wemebaki kumzomea, Ben bado anajitahidi kuimba mara kwa mara.

  1. Linah

Linah anaigiza kama Dr Maya ni mchumba wa Dr Love nadani ya #MMBPazia, baada ya kuacha chou mdhamini wake wa chou anamsumbua ili awe ae kimahusiano. Kwenye kipindi cha Pazia, Maya huaga akiimba nyimbo zake ambazo anajulikana kama Lina ndani ya muziki wa Bongo Flava.

 

Usikose kufuatilia tamthilia za #MMBPazia kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku na pia #MMBHuba kila Jumatatu hadi ijumaa saa 3 usiku. Pia usikose kuwaangalia wasanii hawa ndani ya ##MMBKumiZaWiki kila Ijumaa saa 11 jioni.