Logo
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki13

Nyimbo kumi bora za Bongo Flava – Kumi za Wiki

Habari
26 Mei 2021
Watazamaji wa Maisha Magic Bongo waamua nyimbo kumi bora za Bongo Flava
c d x PDX a 82obo unsplash

Bongo Flava ni muziki wa halisi wa watanzania. Huu mtindo wa muziki ni mchanganyiko wa miziki ya Marekani ya hip hop, reggae, taarab and miziki ya afrobeat. Aina hii ya muziki ulianzishwa miaka ya 90 na sasa hivi Bongo Flava, inavuma duaniani nzima.

 

Ukiwa mtazamaji wa Kumi za Wiki, unajua kama kila wiki kipindi hiki kinaonyesha miziki bora ndani ya Bongo Flava. Tuliwauliza watazamaji wa Maisha Magic Bongo kujua ni nyimbo gani za Bonogo Flava ndio bora na hii ndio orodha yetu:

 

  1. Baikoko – Mbosso na Diamond Platnumz
  2. Tatizo – Billnass
  3.  I do – Wini na Darassa
  4. In love – Ali Kiba
  5. Nobody – Anjella
  6. Kiss me – Mbosso
  7. Kidani – Ben Pol
  8. Kivuruge – Nandy
  9. Running to you – Chike na Simi
  10. Waah! – Diamond Platnumz na Koffi Olomide

 

Je unakubali na hii orodha? Kumbuka kuangalia #MMBKumiZaWiki kila Ijumaa saa 11 jioni ndani ya Maisha Magic Bongo, chaneli 160!