Logo
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki13

'Post' kumi bomba ndani ya Instagram ya Maisha Magic Bongo

Habari
01 Julai 2021
Maisha Magic Bongo ifikia nusu million followers angalia ni michapisho gani watazamaji waburidika navyo.
500K IG Posts 1080 x 1080 (3)

Tunapenda kuwashuru watazamaji wetu wote wa Maisha Magic Bongo kwa kutufuatilia ndani ya ukurasa wetu wa jamii wa Instagram. Hapo chini kuna posts za Instagram za mwaka huu ziliwachangamsha washabiki wa Maisha Magic Bongo:

1. Ni gani utavaa leo - Huba

2. Nani ungependa kula nae chakula cha jioni? - Pazia

3. Jua ni Kali mnoo - Jua Kali

4. Kwani Nguzu mwenyewe anasemaje?? - Mpali

5. Doris au Beyonce - Huba 

6. Wiki nzito ndani ya ICU 

7. Kwani penzi lenyewe linasemaje jamani? - Jua Kali

8. Nilienda nikamkuta hayupo - Kitimtim

9. Mary na mama mkwe wake

10. Mabinti wapya ndani ya Pazia

Usikose kutufuatia ndani ya Instagram yetu @maishamagicbongo!