Logo
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki16

Nyimbo 10 bomba za kuingiza mwaka 2021 – Kumi za wiki

Habari
29 Decemba 2020
Mwaka 2020 umekuja kwa kasi sana ulimwenguni wote. Kutokea majangaya Corona na vitu vyingi tulivyoona vikibadirika ki dunia au hapa nchini, Tanzania. #KumiZaWikiTZ inakuleatea nyimbo kumi zina vuma kukusahidia kuingiza mwaka mpya
Screenshot 2020 12 29 at 19

Maisha Magic inaendelea na burudani nyingi kwenye tamthilia, filamu na muziki. Bila shaka #KumiZaWikiTZ inaongoza nchini kwa kukuletea vipaji vyote vya Bongo Flava. Hapa chini ni nyimbo kumi ambazo zimekaa kwenye chati hii wiki ya mwisho ya mwaka 2020:

1. Famian Soul - P.S. I Love You

2. Rayvanny Feat. Zuchu - Number One

3. Diamond Platnumz Feat. Koffi Olomide - Waah!

4. Lulu Diva - Hauna Maajabu

5. Marioo Feat. Sho Madjozi - Mama Amina

6. Young Lunya - Fimbo

7. Nikki Wa Pili Feat. Young Lunya & Baddest - Umekaaje

8. Marioo - Asante

9. Wini Feat. Aslay - Unanikoleza

10. Mbosso - Fall

Maisha Magic Bongo inapenda kuwatakia watazamaji wake wote heri ya mwaka mpya. Endelea na kuburudika na kipindi cha #KumiZaWikiTZ kila Ijumaa saa 11 jioni ndani ya chaneli 160