Kitimtim
160
Vichekesho
13 L
Main
Video
Habari
Pili yupo tayari kulipa madeni Kitimtim
Video
01 Machi
Da Zuu akasirika na Masantula baada ya kupotea na Masantula adam kwamba alikuwa anamtafuta Baba Juma na Baba Juma capotea tena. Pili ajakujua ni nani anamdai Zunde pesa.
Jisajili kuangalia
Up Next
Nelly afukuzwa – Huba
24 Februari
Waridi na Kitua – Harusi Yetu
21 Februari
Mdoe ataka kuoa tena! – Pazia
08 Februari
Bobo atuma barua kwa Anna– Jua Kali
05 Februari
Kashaulo yupo wapi? – Huba
27 Januari
Gloria aanzisha matatizo mapya! – Pazia
11 Januari
Maudhui Yanayohusiana
Video
Baba Juma ana hasira na Zunde– Kitimtim
Baba Juma anahasira na anataka kumuua Zunde juu ya kumdai Pili pesa. Zunde ampa Zuu ushauri ili arefuke na Pili agundua kwamba mama yaka amemuibia pesa.
Video
Ndoa ya saba – Kitimtim
Masantula, Zuu na Zunde washerelekea ndoa ya Zunde. Mama Pili awaaomba Zunde, Masantula na Zuu wasalimiane. Hatimaye mama aamua kufunga ndoa ya saba kwa Ba Juma.
Video
Yakubu akutana na JB– Huba
Tima na Jude wagombana na Tima ataka kuhama. Wakati Jb yupo kijijini na akutana Yakubu na Nelly anda kwa Tesa kupata faraja.
Video
Nafasi ya Pili yajaziwa – Kitimtim
Masantula na Da Zuu wagundua kwamba Pili alikuwa akituma pesa nyingi nyumbani kwa mama yake. Mama Pili amwambia Zunde kwamba yupo tayari kuchukua nafasi ya Pili.