Main
Msauzi ataka utulivu– Kitimtim
Video
07 Decemba
Pili na Zunde wagombana juu ya kutoaminiana wakati Msauzi awafuma Zunde na Masantula wakiwa wanamsema. Hatimaye Msauzi anataka fujo zote ziishe, lakini Pili na Zuu wachana nguo zake.
Jisajili kuangalia
Up Next
Freedom is coming tomorrow! – Kitimtim
16 Novemba
Pili ana sura mpya– Kitimtim
09 Novemba
"Bwana wangu kamipenda hivi hivi"– Kitimtim
03 Novemba
Zunde na Pili warudiana – Kitimtim
12 Oktoba
Masantula ataka kumvisha pete Da Zuu – Kitimtim
05 Oktoba
Jini karudi – Kitimtim
15 Septemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Msauzi karudi kwa Pili– Kitimtim
Sabufa adai pesa zake, wakati huku Msauzi arudi mjini. Mama Pili ataka wajue ni nani aliyebandika makaratasi kwa Pili.
Video
Watakiwa: Sabafu, Baba Juma na Zunde – Kitimtim
Lillian aangaika kumchagua meneja. Wakati, Sabafu, Zunde na Baba Juma watakiwa.
Video
Doris agundua ukweli kuhusu Tesa na Roy – Huba
Nelly ataka kujua kuhusu mali za mama yaka kwa Fei. Kibibi amkalibisha Abby mwenye klaube yake na Doris agundua kuhusu Tesa na Roy.
Video
Mwali ataka kurudu nyumbani – Mwali
Mwali alilia kurudi nyumbani na Chifu Kandamsile ampiga make wake.