Pili arudi kwa Zunde – KitimtimZunde agundua kwamba pili yupo kwa Msauzi na sasa anataka kununua bastola. Hili jambo la mpa Pili wasiwasi. Hatimaye Masantula agundua Pili alipo na amwomba Pili pesa ili anyamanze. Harafu Pili arudi nyumbani na akutana na mama yake.