Main
Pamoja, "we can" – Kitimtim
Video
15 Juni
Pili na Da Zuu wagombania kuhusu pesa. Harafu waamua kuwakomesha Masantula na Zunde na Zunde na Masantula wajiunga pamoja kuwakomesha zaidi.
Jisajili kuangalia
Up Next
Nani kaiba pesa? – Kitimtim
08 Juni
Zunde apoteza pesa – Kitimtim
01 Juni
Hii familia ni kubwa sana – Kitimtim
18 Mei
Ahadi ni deni – Kitimtim
11 Mei
Jiwe liko wapi? – Kitimtim
04 Mei
Tabu kamtesa Pili! – Kitimtim
24 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nafasi ya Pili yajaziwa – Kitimtim
Masantula na Da Zuu wagundua kwamba Pili alikuwa akituma pesa nyingi nyumbani kwa mama yake. Mama Pili amwambia Zunde kwamba yupo tayari kuchukua nafasi ya Pili.
Video
Pili yupo tayari kulipa madeni Kitimtim
Da Zuu akasirika na Masantula baada ya kupotea na Masantula adam kwamba alikuwa anamtafuta Baba Juma na Baba Juma capotea tena. Pili ajakujua ni nani anamdai Zunde pesa.
Video
Pili arudi kwa Zunde – Kitimtim
Zunde agundua kwamba pili yupo kwa Msauzi na sasa anataka kununua bastola. Hili jambo la mpa Pili wasiwasi. Hatimaye Masantula agundua Pili alipo na amwomba Pili pesa ili anyamanze. Harafu Pili arudi nyumbani na akutana na mama yake.
Video
Masantula amefariki – Kitimtim
Zunde hajue afanye nini kuhusu maiti ya Masantula na amawambia Da Zuu. Baada ya kupata habaru hiyo, Masantula awatokea Pili na Da Zuu.