Logo

Watazamaji wa MMBongo watoa ushauri kwa Misa – Karma

Habari
19 Novemba 2020
Misa amekwama na hajui ni nini kitamrudisha Derrick kwake.
20201119 103223

Tangu Derrick alivyo muacha Misa, Misa hajawa sawa. Amejaribu kila kitu ili Derrick arudi kwake lakini Derrick anazidi kuangukia kwenye mikono ya Dkt.

Desire. Kwenye upande mmoja Misa ana Nama, dada yake na Derrick, anaye mwambia aachane na Derrick.

Kwenye upande mwingine mama yake na Derrick, Madam Veronica anamwambia azidi kuvumilia.  Sasa Misa ana dai ana ujauzito wa Derrick na  hajui la kufanya, tuliomba msaada ndani ya familia yetu ya watazamaji wa Maisha Magic Bongo. Hapa chick kuna ushauri wa Misa toka kwa watu 10 kwenye kurasa zetu za mitandao.

USHAURI KUMI WA WATAZAMAJI WA #KARMATZ NDANI YA MAISHA MAGIC BONGO:

1."Apambane tu mpka kielewelakini aache kumlaumu Nandy na watu" - @yahyou_teefah (Instagram)

2. "Kama kweli yeye ni mjeuri akapambane na Kivu alafuakaolewe na Raheem wataendana"- @lucymlagala (Instagram)

3."Aachane na Derrick" - @mponzi_lista (instagram)

4. "Apambane na hali yake tuu" - @mvirigiana (Instagram)

5. "Bora angeenda kufanya ibada kanisani" - @officialcatherinedi (Instagram)

6. "Akae kwa kutulia" - @saummeresh001 (instagram)

7. "Aendelee na maisha yake hayo ni malipo ya usaliti kwabest friend ake😂 karma" -@angeleen_jayme  (Instagram)

8. "Aache uongo" -@djeddy_tz (Instagram)

9."Boraaseme tu anamimba" -@imranbadman2020 (Instagram) 

10."Awe mpole" -@saalzuq_kanyanga

 

Usikose kuangalia #KarmaTZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 kamili na marudio kila Jumatano na Alhamisi saa 2 kamili ndani ya chaneli 160