Kapuni
160
Drama
PG13
Main
video
habari
gallery
Robert Vs Brown- Kapuni
Video
24 Novemba
Wiki hii kwenye #Kapuni , Patrick kapata ujasiri kumtembelea Koku, Robert afika hospitalini na kumpa Rebeca tumaini. Brown amemtuma Prisca kwa Robert, Je anapanga nini? Oficini hakueleweki, Koku bado ana mganda Jordan, mtaani vituko kwenda mbele.
Jisajili kuangalia
Up Next
Mgeni hataki kumuona Carlos wala Sidi- Huba
22 Novemba
Ugomvi na Kasheshe- Rebeca
20 Novemba
Nani atamukoa Rebeca – Rebeca
13 Novemba
Rachel apoteza Imani - Kapuni
10 Novemba
Jude kafunguka ukweli kuhusu Batuli - Huba
08 Novemba
Rachel bado hospitalini – Kapuni
03 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Doris mnyonya damu!– Huba
Nicole afokea Carlos na baba Happy juu ya sauseji, wakati Bi Sikitu agundua kwamba Doris ana husika na ugonjwa wa Nandy . Tesa agombana na Doris hospitalini na mizimu ya rudi kumtembelea Bi Sikitu.
Video
Peter hataki mwanamke anayependa kwenda Club – Date My Family Tanzania
Bachela wa wiki hii ni Peter Rusagira kutoka Kigamboni. Ni mpiga picha na ana umri wa miaka 24. Baada ya kukutana na familia zote tatu, inabidi afanye maamuzi ni mrembo gani atampeleka kwenye deti.
Video
Regina arudi nyumbani – Pazia
Regina atoka hospitali na ajui aende wapi. Eliza amtishia Henry na judge na pia kumwambia Gloria kwamba sio baba yake. Waridi ampeleka Edu nyumbani wakati Fred na Jemo warudishiwa pesa zao. Gloria aja kumuona Regina na Eliza amwambia Henry ana wiki moja ya kumpa talaka Miriam.
Video
Monica apigwa kofi– Huba
Doris aenda kwa mganga wa kienyeji kujua afanye nini. Chidi alutana na Kibibi na Devi hospitalini. Wakati Tesa bado yupo casino na Monica aonywa.