Kapuni
160
Drama
PG13
ukurasa
Video
Wahusika
Polls
Vilio wodini- kapuni
Video
27 Oktoba
Vilio vinatawala wodini kwa Recho, Brown anashauriwa kukaa mbali na Recho anaomba msaada kwa Lisa amsaidie kuwa karibu na Recho,Alice kalewa chakari Gigi kadata,Oscar nae anamtamani Lisa,
Jisajili kuangalia
Up Next
Nandy katekwa- Huba
25 Oktoba
Mseke mseke kwenye – Rebeca
23 Oktoba
Uchungu wa Rachel – Kapuni
20 Oktoba
Rebeca ajipata matani – Rebeca
16 Oktoba
Mapenzi , usaliti na vurugu – Huba
11 Oktoba
Kasheshe na haya- Rebeca
09 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Doris karudi! –Huba
Doris aridu kwa Roy na aomba kukaa na yeye na Nandy. Jude afukuza Devi na Roy wakati Kibibi aishia kumauonya. Kashaulo bado anafikiri Nicole ni mie wake mbele ya Sidi. Roy naye amfuma Doris akimuombea na Kibibi ataka jinsi ya kumuonyesha JB kwamba Tesa ndiye aliyemuua Ruby.
Video
Zunde bado hajarudi – Kitimtim
Pili aenda kwa Fande ili amsaidie kumtafuta mume wake. Zunde na Masantula bado wako kwa Msauzi.
Video
Sakina atoroka – Pazia
Fred ajakumuonya Jemo akiwa anatafutwa na Inspekta Barry. Tunu bado yuko kwa mganga kujaribu kumuokoa mume yake aliyelogwa. Sakina atoroka na Mzee wake aja kwa Edu na amlazimisha kulipa mahali ya shilingi mia moja kumuoa. Mke wake Sadiq amuomba amsaidie kuzaa mtoto kumpata mtoto.
Video
Brenda yupo wapi? – Pazia
Ben aomba pesa zake kwa bosi wake na wampunguzia pesa. Wakati Brenda bado hapatikani na rafiki yake Siti aomba kukaa kwa Fred. Miriam na Mdoe waenda kumtembelea Eliza hospitali.