Logo
Kapuni slim
channel logo dark

Kapuni

160DramaPG13

Hitimisho la Kapuni

Habari
22 Decemba 2019
Screenshot 2020-01-05 at 14.34.35

Wiki hii tumefikia hitimisho la #KAPUNITZ  kama ulikosa kutazama hujapitwa. Kwa ufupi hapa ndipo mambo imefikia. Ni kasheshe, vituko vya kipekee katika hii tamthilia!!

Mambo ni kama hivi

1.Alwatan Koku kafanikiwa kulipiza kisasi kwa Patrick
2. Brown kamteka Reachel akielekea kwenda kukutana na Robert
3. Ofisini kaja mwanaume mzuri kuliko Jordan wanawake wote macho juu
4.Robert anapanga kumvalisha pete Reachel
5.Brown kambaka Reachel tena
6. Brown ana ambiwa Nickson sio mtoto wake
7.Reachel ana anza kutembea tena
8. Alice mziki tena basi...... 

Tazama higlights hapa

Baadhi ya maoni ya mashabiki wa kipindi ni kuwa Kipindi kilikuwa moto sana na Kua Brown anajiona kama yeye tu ndiye kidume.wengine wana mhurumia Rachel kuwa anapitia mengi. Shabiki mmoja Cecelia amependezwa sana na Robert, asema kuwa " Robert yuko vizuri, mahaba kama yote".