Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Suzzy ataka kwenda mjini – Jua Kali
Video
29 Mei
Suzzy hayupo tamari kuwa na mume. Bill Juniour akumbuka jinsi alivyomfokea Zai na Mama Eva agombana na mwenyekiti. Anna agombana na baba yake juu ya uamuzi wake. Frank aja kumuomba Thomas ushauri.
Stream on Showmax
Up Next
Harusi bado inaendelea –Huba
29 Mei
Mimi Mars na Irene Paul wajibu maswali 10 kuhusu Afrika
25 Mei
Wanakijiji waandamana! – Mwali
21 Mei
“Kila mtu na mpenzi wake” – ICU
19 Mei
Femi amwambia Luka ukweli – Jua Kali
14 Mei
Doris apata wasiwasi –Huba
12 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Michael ataka kumuoa Vivian - Jua Kali
Femi amkasirikia Tony juu ya kuvuruga maisha yake, Michael asema kwamba atamuoa Vivian.
Video
Maria atoa maonyo - Jua Kali
Auntie Zai ataka Naira amsaidia kuchafua nyumba ya Prof na Maria amuonya mtumishi mwingine. Hatimaye Felix aja kuomba radhi.
Video
Mama Femi afika mjini – Jua Kali
Mama Femi afire mjini wakati Diba azidi kumteka Anna, na Femi akimbilia kwa Lukas.
Video
Ndoa ya Anna na Diba - Jua Kali
Thomas aja kwa Maria kumuuliza anachotaka baada ya kugundua ukweli. Diba na Anna wafunga ndoa