Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Femi apata mgeni – Jua Kali
Video
30 Aprili
Linda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.
Stream on Showmax
Up Next
Devi yupo katikati ya Kibibi na Tesa–Huba
28 Aprili
“Nguvu inatumika vitani na sio kwenye Huba” – Huba
21 Aprili
Linda afika Tanzania – Jua Kali
16 Aprili
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
08 Aprili
JB akamatwa – Huba
02 Aprili
Yakubu akutana na JB– Huba
24 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Femi adai mapumziko ndani ya ndoa yake na Luka– Jua Kali
Femi aenda kumlalamikia Mama Lukas na aamua kumuacha Lukas. Michael amfuata Lukas kazini kudai ukweli kuhusu yeye na mke wake.
Video
Felix amemalizana na Stella – Jua Kali
Felix amwambia Stella kwamba hamtaki tena na Femi ampa faraja Luka.
Video
Harusi tunazo? – Jua Kali
Frank amwambia baba yake kwamba hataki kumuudhurisha ndani ya maamuzi. Semini na mama yake waned kwa Sophia. Anna Rupo tayari kuolewa na Diba na Femi na Luka wake tayari kuingia mwenye ndoa wakati Luka bado anamaswali.
Video
Maria ampa Frank alichokuwa anakitaka– Jua Kali
Tima apata wageni kijijini, Maria ampa Frank kile alichokuwa anakitaka. Thomas naye amuudhi Maria na pia uswazi kuna harusi. Hali ya bibi yazidi kuwa baya.