Logo
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Sura mpya ndani ya Jua Kali – Maisha Magic Bongo

Habari
05 Machi 2024
Madam Rita na Hizza Salimu wajiunga na #MMBJuaKali
Article

Jua lazidi kuwaka kwa ukali ndani ya Maisha Magc Bongo baada muongezo wa mastaa wawili wapya ndani ya kipindi hiki. Hizza Salimu aingia ndani ya Jua Kali kama Bill Jnr wakati Madam Ritha ajiunga na Jua Kali kama mama Femi. Hizza Salimu sio mgeni ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo, kabla aliwahiji kuwa ndani ya kipindi cha Yalaiti na bado yupo ndani ya kipindi cha Dhohar. Wakati Madam Rita ni msaani maarufu sana na sio mgeni mbele ya television.

 

Baada ya kuondoa kwa muda mfupi na baba yake, Bill arudi baada ya kupata taarifa kwamba dada yake, Anna, amepotea. Kabla ya kuondoka, Bill aligundua siri kubwa ya Eva. Kwa sasa mahusiano yao bado yapo mashakani.

Wakati huku kwengine, Femi anaendelea na matibabu na ndoa yake na Lukas bado iko mashakani. Baada ya Lukas kumfukaza Julieth, hamna mwigine wa kumsaidia na hatimaye mama yake Femi aamua kuja. Je itakuaje?

Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160, pia lipia kifurushi chapo HAPA kujiunga sasa  hivi.

Sura mpya ndani ya Jua Kali

Nani umempenda zaidi?

Jua Kali
Hizza Salimu (Bill Jnr)12%
Jua Kali
Madam Rita (Mama Fei)88%