Logo
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Ni nani anayefaa? – Maisha Magic Bongo

Habari
26 Septemba 2023
Na hizi ndio kapo zetu pendwa , je ni nani anayestahili kuwa nambari moja?
Article

Tamthilia zetu  Huba, Pazia, Kitimtim na Jua Kali, harakati za mahusiano  zina mambo mengi na. Tumekuwekea orodha hapo chini kumsaidia kila mtu kufanya maamuzi sahihi!

Roy (Huba)

Roy  tunamjua kama mume wa Doris lakini hapo kati alihamishia majeshi kwa mrembo Nandi na hivi sasa Roy huyu huyu amekita jicho lake kwa bibie Fei na cha kushangaza zaidi Tesa nae amehamia kwa Roy. Tumsaidie kuchagua, abaki na nani?

Huba
Roy (Huba)

Tumsaidie kuchagua, abaki na nani?

Huba
Nandy26%
Huba
Tesa7%
Huba
Fei32%
Huba
Doris36%

Henry (Pazia)

Ingawa Henry anaishi na Lolita, huku nyuma ana mahusiano na Gloria. Na bado kuna Eliza na Miriam pia. Hapa anapendezana na nani?

Pazia
Henry (Pazia)

Hapa anapendezana na nani?

Pazia
Eliza21%
Pazia
Miriam13%
Pazia
Gloria9%
Pazia
Lolita58%

Pili (Kitimtim)

Nani amesema kwamba ni wanaume tu ndio wanaweza kuwa na wenza zaidi ya mmoja? Bi Pili amebadilisha mchezo , huku Zunde na kula Sabufa , kazi  kwako mtazamaji je ni nani amfanye baba Watoto?

Kitimtim
Pili (Kitimtim)

Je ni nani amfanye baba Watoto?

Kitimtim
Sabufa22%
Kitimtim
Zunde78%

Prof Bill  (Jua Kali)

Uzee mwisho chainze! Professa Bill , mwamba mwenyewe ametushushia masuprise ya kutosha hivi karibuni , ni baada ya kugundulika kwamba , Aunty Zai nae ni mke halali na wana Watoto , je huu mtanange ataushinda nani na je wakubaliane kuishi kama wake wenza au mmoja atoke kumpisha mwenzake? So tuchague nani abaki mjengoni?

Jua Kali
Prof Bill (Jua Kali)

Tuchague nani abaki mjengoni?

Jua Kali
Auntie Zai49%
Jua Kali
Mrs Bill51%

JB (Huba)

Majini ya JB hayajawahi kumuacha salama kabisa, licha ya kupitishwa mengi.  Je Jb abaki na mapenzi mapya na Tima au arudi kwa Happy?

Huba
JB (Huba)

Je Jb abaki na mapenzi mapya na Tima au arudi kwa Happy?

Huba
Happy24%
Huba
Tima76%

Iddy (Jua Kali)

Baada ya kutimiza ahadi zake na kuoa mke wa pili Sophia , nyumba imewaka moto , ni vuta ni kuvute na mke mkubwa Semeni , Je mwenye mapenzi ya dhati na Iddy hapa ni Semeni au Sophia?

Jua Kali
Iddy (Jua Kali)

Je mwenye mapenzi ya dhati na Iddy hapa ni Semeni au Sophia?

Jua Kali
Semeni23%
Jua Kali
Sophie77%

Kumbuka kujiunga na #MyDStv App kuendelea kuburudika na vipindi vya #MaishaMagicBongo popote ulipo kila siku.