Logo
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Mapenzi yavuruga: Nelly na Anna, Nani amelaaniwa zaidi na ndoa? – Maisha Magic Bongo

Habari
15 Januari 2024
Ni nani anazidi kuwa na bahati mbaya zaidi kwenye mapenzi?
Article

Tulikuwa tukidhani kwamba tutanza mwaka mpya na harusi mbili ndani ya Maisha Magic Bongo. Baada ya kukutana na Abby na kujuana kwa muda mfupi, Abby alimvisha pete Nelly mjini kwake Zanzibar. Wakati alivyokuwa, lakini kwa bahati mbaya, tukio baya lilitokea kwenye harusi baada ya mtu kuuwawa kwenye harusi yake.

Wakati huku ndani ya Jua Kali, Anna na Diba wamekuwa wakijiandaa kufunga ndoa baada ya kuwa kwenye mahusiano na Diba. Tatizo kubwa lilitokea baada ya mama yake Anna kupata habari toka kwa Bobo kwamba bado anampenda Anna na adai kurudiana naye. Baada ya Anna kukutana na Bobo, aliamua kutofunga ndoa na Diba tena.

Usikose kipindi cha #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku na #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv channel 160, Maisha Magic Bongo!

Mapenzi yavuruga - Maisha Magic Bongo

Nani amelaaniwa na ndoa? Chagua hapa

Huba
Nelly (Huba)18%
Jua Kali
Anna (Jua Kali)82%