Zilizofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbai mbali kutoka Arfica Mashariki.Tuzo hizi zimeandaliwa ili kutambua mchango wa vijana katika Sanaa za Afrika Mashariki.
Lamata amefanikiwa kuchukua tuzo ya mtunzi bora yaani , Outstanding youth on visual Arts
Mimi Mars, muigizaji bora wa kike, outstanding Youth Actress.
Na Juma alipokea Tuzo ya Mchekeshaji bora wa Kiume , outstanding Male Comedian
Maisha Magic Bongo tunawapongeza sana washindi wetu Leah Lamata, Maria na Juma kwa mchango wao mkubwa katika tasnia ya filamu nchini.
[image]
Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kupitia DStv chaneli 160 kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo.