Logo
jua kali, slim billboard, web uni
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Ukwell kuhusu Naira na Frank wajulikana – Jua Kali

Video
16 Oktoba

Dira ajifanya Kama amefariki na hilo jambo lamshitua na kumkasirisha Anna. Waakati Vivian anawaza ni nini kinamtesa Da Amina na mke wake na Prof Bill awaambia Auntie Zai na mume wake kuhusu mahusiano ya Naira na Frank.