Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Richard Mofe-Damijo
Video
31 Oktoba
Muigizaji maarufu tokea Nigeria ajiunga na kipindi cha Jua Kali ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo.
Jisajili kuangalia
Up Next
Mwali itaanza 29 Oktoba ndani ya Maisha Magic Bongo!
27 Oktoba
Yalaiti itaanza 4 Julai - Maisha Magic Bongo
28 Juni
Majanga ya siku ya harusi
24 Decemba
Danga
09 Novemba
La Familia
09 Novemba
Celebrating the African Film heritage with Afrocinema
17 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Tonny amtaka Maria – Jua Kali
Tonny akutana na Maria na aishia kupa lamba yaka ya simu. Auntie Zai amuonya mfanya kazi mpya wa nyumbani kwa Mzee Bill. Mzee Bill aamua kuwa wazi na wake wawili.
Video
Bobo atuma barua kwa Anna– Jua Kali
Bobo atuma barua Tanzania kwa Anna. Auntie Zai aenda kuongea na Mrs Bill. Kuhusu kikao kitakachotokea. Emma amuonya Eva kuhusu kazi yake. Hatimaye Anna akutana na mama Diba.
Video
Kitundu azamia Afrika Kusini– Jua Kali
Anna akutana na Bubu akiwa kwenye semina yak e Afrika Kusini. Kabla ya kujiunga na kikundi cha Who Madjozi, kitundu aamua kutoroka. Hatimaye Naira apatika mahututi hospitalini.
Video
Sho Madjozi ajiunga na Jua Kali
Mwanamuziki maarufu tokea Afrika Kusini ajiunga na kipindi cha Jua Kali ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo.