Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Patience Ozokwor  ajiunga na Jua Kali

Habari
15 Machi 2022
Patience Ozokwor aonekana ndani ya kipindi cha Jua Kali kama Aunt Zozo, shangazi yake na Bobo, ndani ya Maisha Magic Bongo.
MMB JuaKaliFeatPatienceSM V2 HDTV HR

Bobo (Van Vicker) alionekana kwenye vipindi vichache mwanzoni wa msimuu huu wa Jua Kali baada ya kusafiri kutoka Ghana mpaka Tanzania kukutana na mpenzi wake wa zamani, Anna. Alivyokuwa Tanzania, mambo hayakuenda vizuri  na kwa bahati mbaya aliondoka na moyo wake ukiwa  umevunjika.

Anna alivyofika Ghana alikutana na rafiki yake toka chuoni, Linda, na Linda aamua kumpeleka kwa Bobo. Baada ya Bobo kurudi Ghana toka Tanzania, moyo wake ulikuwa mgumu, na alimwambia shangazi yake, Auntie Zozo (Patience Ozokwor) kuhusu yote aliyomkuta alivyokuwa Tanzania. Aunty Bobo bado ana hasira na Anna na akataa kabisa kuwapokea Anna na Linda. Kwa sasa hivi, Anna amekwama na jinsi ya kuonana na Bobo tena. Je atafanikiwa kumuona Bobo kwenye safari hii?

Anna kafika Ghana - Jua Kali

Unafikiri Aunty Zozo atamruhusu Anna kumuona Bobo? Tuambie hapo chini

Ndiyo, lakini kisiri34%
Hapana, Aunty Zozo hatomruhusu50%
Atamuona kwa umbali tuu15%

Usikose kuangalia #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:3o usiku ndani ya DSTV chaneli 160!