Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

 Kipindi cha Jua Kali cha vuma ndani ya mitandao ya jamii!

Habari
03 Februari 2022
Mitandao ya jamii ya furahishwa na Lukas kuachwa na Maria.
Screenshot 2022 02 04 at 14

Lukas alimpenda sana mwanakondoo mwenzake Maria, lakini tatizo likaja baada ya Lukas kumuomba Maria amuoe mbele ya kanisa lao nzima. Tatizo lilikuwa kwamba, Maria alikuwa anatembea na wanaume tofauti. Kwanza alikuwa akitembea na Felix na pili pia, alikuwa akitembea na baba yake na Felix, Thomas. Kwa sababu Maria hakuwa mkweli kwa Lukas, aliamua kuachana nae mbele ya kanisa nzima.

Baadhi ya watu ndani ya mtandao wa jamii wa Twitter walifurahishwa na hilo onyesho la #MMBJuaKali, soma walivyosema.

"Watu wanafikaje kenye hatua ya kuvaa sale na kukutana kuoana"

"Stori fupi"

"Kuhesabu pesa uliyotumia na nishati uliyotumia"

"Mtu aliyewakutanisha"

"Meme mpya"

"Pale unapofikiria kama umefunga goli, lakini VAR inakwambia haujafunga"

"Na hii meme tena"

"Amevaa nguo zilezile za kunywea chai"

"Amenunua vitenge vitano, akachua vitatu na kukuachia viwili"

Kumbuka kutuafuatia ndani ya Twitter na pia kuangalia kipindi cha Jua kali kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku!