#Harusi Yetu , wiki hii Raymond na Grace. Walipokutana Raymond alikuwa mfanyakazi huku Grace bado alikuwa mwanafunzi, je alingoja miaka mingapi? Na je ni nini Raymond na Grace ilibidi wavumilie? Tukutane kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv160 pekee!