Huba
160
Drama
16
Main
Video
Habari
‘Damu ikimwagika haifunikwi na mchanga’ –Huba
Video
30 Juni
JB amuonya Yakubu kuhusu kufuatilia kilo cha dada yake. Kibibi ajaribu tena kwa Fabrizio. Devi aamua kuwa single na bado anamtaka Tima. Nelly yupo tayari kulipiza kisasi na amuonya Devi.
Stream on Showmax
Up Next
Eliza anauzito wa moyo – Pazia S6
28 Juni
Msauzi karudi kwa Pili– Kitimtim
27 Juni
Bibi Anna yupo mahututi – Jua Kali
27 Juni
Tausi amwambia Nozo ukweli – Mwali
25 Juni
Tesa ndiyo mama mwenye nyumba –Huba
23 Juni
Tusubiri sherehe – Mpali
22 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nelly ni msaliti – Huba
JB bado hamuamini Nelly, na Sidi amuonya Tima.
Video
JB alazwa hospitali – Huba
Dokumenti za JB zapotea na ataka kujua ni nani nyumbani aliyezichukua. JB aishia hospitali na Sidi ajakumuangalia.
Video
“Kujiuza sio rahisi”– Huba
Happy apambana na Tima juu ya umbra wake. Bi Sikitu amuwangia Doris na Fei aondoka.
Video
Pesa, shikamoo!– Huba
Jude ajikuta mikononi kwa Doris na mama yake wakati Yakubu arpa pesa shikamoo yake baada ya karudi kwa JB.