Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Pigia kura Pazia na Huba ndani ya tuzo za AMVCA

Habari
21 Aprili 2023
Fuatilia hatua hizi kupiga kura yako!
AMCVA

Tamthilia zetu pendwa za #MMBPazia na #MMBHuba zimechaguliwa kiwania tuzo za Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCAs). Wito kwako mtazamaji na mpenzi wa #MaishaMagicBongo ni kusaidia kuzileta to hizi tuzo nyumbani. Fuatilia hatua hizi kutupigia kura:

1.    Jisajili na tovuti ya Africa Magic HAPA na bonyeza “VOTE”
2.    Utapokea pini ya mara moja "OTP" ndani ya meseji
3.    Bonyeza “REGISTER” na ingiza maelezo yako ya kibinafsi kwenye “PERSONAL DETAILS” na neno lako la siri kwenye “PASSWORD”
4.    Ukishamaliza kujisajili chagua kipindi cha #MMBPazia (nominee 11) ndani ya kipengele cha ‘Best Original Drama Series’na #MMBHuba (nominee 9) ndani ya kipengele cha ‘Best Original Telenovela' bonyeza “VOTE” na piga kura yako.

Maisha Magic Bongo inawapongeza timu za #MMBPazia na #MMBHuba kwa kuteuliwa.