Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Chakula cha jioni nyumbani kwa JB – Huba

Habari
18 Agosti 2023
Fei aamua kuwaalika ndugu zake Tima kwa JB kwa usiku rasmi.
Article

Baada ya Fei kuona kwamba ukaribu wa Tima na JB umezidi, aliaamua kuitisha familia ya Tima ije kwa JB ili wapate chakula cha jioni pamoja. Kila mtu anajua kwamba ukiwa kwenye kundi la watu wengi kasheshe ni lazima zitokee na hii dinner kwa JB haina tofauti. Tumekuwekea orodha ya baadhi ya vilivyotokea ndani ya mkutano huu.

  1. Maswali ya aibu toka kwa Fei

Baada ya Fei kuwakaribisha watu na chakula kuwa tayari, alianza na maswali yake na swali la kwanza lilimuangukia Kashaulo na habari alizo sikia kuhusu kifo chake. Watu wote walishangaasana na nyumba ilija ukimya kwa hakuna mtu aliyeweza kumjibu Fei.

  1. Pendekezo la ndoa kwa Tima

Baada ya kufanikiwa kumnyamanzisha Fei, JB aliamua kujaribu kumvisha pete Tima mbele ya familia yake na kumuomba mkono wake kwenye ndoa. Kila mtu alishaanga sana kwa jinsi mahusiano yao yalivyokwenda kwa kasi sana.

  1. Malipuko ya Nelly

Kila Nelly anavyokutana na watu ni lazima tuu kasheshe zianze na baada ya yeye kuona watu walifurahia ndoa ya Tima na JB alikasirika zaidi kwa juu yay eye kutopatana na Tima.

Article
Chakula cha jioni nyumbani kwa JB – Huba

Je unafikiri hii ndoa kati ya JB na Tima itafanikiwa kweli?

Ndiyo91%
Hapana9%

Endelea kufuatilia #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!

Mengine zaidi: