Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Bahati mbaya ndani ya harusi za Huba – Maisha Magic Bongo

Habari
07 Agosti 2023
Kipindi cha Huba kinaongoza na kasheshe ndani ya siku ya kila harusi.
Article

Baadhi ya harusi zilizo zindua kasheshe ndani ya kipindi cha Huba. Tumekuweke orodha ya harusi zilizopita.

Harusi ya kwanza ya Doris na Roy

Harusi ya kwanza ya Jude

Harusi ya Nandi na Roy

Harusi ya Kibibi na Chidi

Siku ya harusi

Harusi ya pili ya Roy na Doris

Harusi ya Tima na Jude

Harusi ya Devi na Nelly

Je kasheshe gani zitatokea mwezi huu? Usikose kuangalia vipindi vipya vya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160!