Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Nelly bado anamtaka Devi– Huba
Video
26 Agosti
Nelly bado amelewa na Tesa amwambia Nelly aende kwa Devi. Wakati Roy akasirika juu ya Doris kutomsikiliza na Doris arudi kwa mizimu. Tesa afika kwa Devi na Tima kuvuruga mambo wakati Kibibi ampeleka shangazi jela.
Stream on Showmax
Up Next
Anna ana penzi jipya!– Jua Kali
21 Agosti
Remmy afumwa!– Yalaiti
12 Agosti
Ukweli wajulikana– Huba
12 Agosti
Ndoa ya magumashi – Pazia
03 Agosti
Bibi karudi! – Kitimtim
02 Agosti
Hati za talaka zimetiwa saini– Pazia
27 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
Kibibi bado anamtaka Devi – Huba
Kibibi bado anamtaka Devi na Blaze ajaribu kumzuia Yakubu kutoka.
Video
‘Damu ikimwagika haifunikwi na mchanga’ –Huba
JB amuonya Yakubu kuhusu kufuatilia kilo cha dada yake. Kibibi ajaribu tena kwa Fabrizio. Devi aamua kuwa single na bado anamtaka Tima. Nelly yupo tayari kulipiza kisasi na amuonya Devi.
Video
‘Moyo wangu unalindwa na akili’– Huba | S12 | Ep 91-95 | Maisha Magic Bongo
Fei abadirishana maneno na Nelly wakati Devi amuuliza Kibibi kuhusu nakala bandia ya talaka.
Video
Nelly na Fei wasameheana – Huba
Nelly amwambia Fei kwamba anamkumbuka mama yao. Doris amuita Kibibi baada ya Roy kugongwa na gari.