Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Nani aliweka sumu?– Huba
Video
27 Mei
Jude atoroka hospitali baada ya Tima na Devi kuwa mahututi. Wakati Kibibi amvamia Nelly akidai kwamba yeye ndiye aliye mpa Devi sumu. Miraj aokolewa na wavivu baharini.
Stream on Showmax
Up Next
Jude atoroka jela
29 Aprili
Devi arudi nyumbani
22 Aprili
Msimu Mpya -Devi apigwa risasi na Jude!– Huba
01 Aprili
Devi anampango wa kuondoka!– Huba
25 Machi
Doris mnyonya damu!– Huba
11 Machi
Jude amtafuta Tima!– Huba
04 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
JB alazwa hospitali – Huba
Dokumenti za JB zapotea na ataka kujua ni nani nyumbani aliyezichukua. JB aishia hospitali na Sidi ajakumuangalia.
Video
Nelly ni msaliti – Huba
JB bado hamuamini Nelly, na Sidi amuonya Tima.
Video
JB afuma wake zake! – Huba
Chidi amkaribisha Doris uswazi, na JB awafuma wake wenza pamoja.
Video
“Kujiuza sio rahisi”– Huba
Happy apambana na Tima juu ya umbra wake. Bi Sikitu amuwangia Doris na Fei aondoka.