Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Kibibi ahojiwa na mapolisi – Huba
Video
09 Septemba
Devi apata kesi baada ya kujaribu kujiua na Tima anawasiwasi kwamba nia yake ilikuwa kukutana na Jude. Doris amuonya oy kuachana na Devi wakati Yakub bado hapatikani. Tesa aanza kupata wasiwasi na JB na mapolisi wamfuata Kibibi.
Stream on Showmax
Up Next
Sakina atoroka – Pazia
07 Septemba
Jua la muwakia Prof Bill – Jua Kali
04 Septemba
Stella ana kesi kubwa! – Yalaiti
02 Septemba
Nelly bado anamtaka Devi– Huba
26 Agosti
Anna ana penzi jipya!– Jua Kali
21 Agosti
Remmy afumwa!– Yalaiti
12 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Huba la Monica na Fabrizio – Huba
Monica aanza mahusiano na Fabrizio. Tesa amuonya Kibibi juu ya kumfuatilia Devi.
Video
Kibibi alilala wapi? – Huba
Monica amuuliza Kibibi alilala wapi, wakati Jude agombana na Chidi.
Video
Nelly ni msaliti – Huba
JB bado hamuamini Nelly, na Sidi amuonya Tima.
Video
Kibibi bado anamtaka Devi – Huba
Kibibi bado anamtaka Devi na Blaze ajaribu kumzuia Yakubu kutoka.