Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Busu! – Huba
Video
03 Decemba
Nelly afumwa akiwa anajaribu kuingia chumbani kwa Devi. Tima awafuma Nelly na Devi wakati Devi akiwa anambusu Nelly. Kibibi an Fabrizo wafika Zanzibar na wamteka Maraj na wafanyakazi wake.
Stream on Showmax
Up Next
Angel atekwa – Danga
02 Decemba
Maadui– La Familia
26 Novemba
Mtego wa Pipi! – Danga
24 Novemba
Mr Smile kafika! – Jua Kali
19 Novemba
Damu itamwagika – La Familia
19 Novemba
Vincent na Rachel – Harusi Yetu
18 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Hali ya Tesa vipi? – Huba
Sada ampa Tima barua ya Tishi toka shuleni. Jude atakamjulia Tesa hali.
Video
Chunga mkataba! - Huba
Wanaume wote waishia jela baada ya shughuli na Jude na Roy wapigana, wakati Jude amuonya Kibibi juu ya mkataba wao.
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
“Unanilaumu kwa lipi?” - Huba
Jb anashida na Abby wakati Sidi na Tima aendelea na maongezi, na shughuli ya Kibibi stanza.