Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Wiki hii katika Huba!
Video
18 Juni
Sidi anaenda kumlalamikia Bi Sikitu kwa ajili ya usumbufu wa marafiki wa Kashaulo. Devi jicho kwa jicho na mpenzi wa Mama yake, Pedro. Joyce anamfuata Kibibi huku Doris na Ruki wanakutana ofisini. Sherehe inapagwa kupangika!
Stream on Showmax
Up Next
Fifi amefukzwa kazi! – Nyavu
17 Juni
Posa halali, Boy Muddy na Mzee Kasongo – Slay Queen
12 Juni
Tesa na Pedro: Mimba ya Tima ni ya nani? – Huba
12 Juni
Chidi na Happy, Ruki na Jude, Tima na Devi – Huba
05 Juni
Mimba ya siri na changamoto za Far Connect! – Slay Queen
03 Juni
Hasira za Ida na Bi Lena! – Nyavu
01 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
‘Muulize kwa ustaarabu' – Huba
Huba likinyauka kwa Tima na Jude, mbolea ya kufa kuzikana ina nyunyuziwa katika bustani ya Nandy na Roy
Video
Nataka kumuoa Flora! – Dhohar
Cholo aamua kumuoa Flora wakati mama yake ana mke mwingine.
Video
Huyu wa kazi gani? – Huba
Huba likinyauka kwa Tima na Jude, je mbolea ya kufa kuzikana litanyunyuziwa katika bustani ya Nandy na Roy?
Video
“Hii mimba ni ya kwako Thomas!” – Jua Kali
Zai ampiga Naira baada ya yeye kujifanya mtu mzima. Maria amwambia Thomas kwamba ujazito ni wake.