Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Watazamaji wa #MMBHuba wampa ushauri Tima - Huba

Habari
29 Oktoba 2021
Tima hajui la kufanya na anahitaji usadizi!
Screenshot 2021 10 25 at 19

Tima na Jude wazidi kupigana, na ndoa yao yazidi kufika pabaya. Baada ya Tima kulewa na kupotea uswazi, Jude amtafuta na kumpiga Tima na pia aishia kumuua mtu ambaye alikuwa ana msahidia na Tima aishia hospitalini.

Baada ya mateso hayo yote,Tima hajui la kufanya ili aachane na Jude na watazamaji wa #MMBHuba wamsahidia kufanya maamuzi.

@elizabethwilliamka (Instagram)

😂😂😂 Safari hii kapata wa kufanana nae wacha ashike adabu kwanza ili ikitokea Devi kurudi hatamnyanyasa tena😂😂

Dorika Makorongo (Facebook)

Tima aache kiburi awe mke mtiifu maana jude anampenda me namwelewa sana t jude tn anafikisha ujumbe vzr 😂 maana tima alipokua na devi hakujua thamani ya devi ss apa kwa jude pele limepata mkunaji atanyooka t

@fabymaige (Instagram)

Tima akampiganie Dave arudi nyumbn ili Jude aondoke

Gracious Samwel (Facebook)

Alifukuze hilo lijude akishindwa kulifukuza team tima tunakuja kumtoa na mabag yake 😂

nicebreezy_g (Instagram)

Warudiane na dev tu maaan duuuh c kwa jua hilo

crevodesigner (Instagram)

huba la leo lina walevi mbwa chidi ,roy,devy, fabrizo,caroz, judi

Damaris Dama (Facebook)

Kwa kweli time ameingia Cha kiume lazima asimame.anajiutia kuolewa na Jude,cos alikua amezoea vya kuchinja Sasa vyakunyonga kapambana navyo afanyeje?Tima mama amua moja, yalivyo kushinda ya kuteleza hata ya kukauka hutaezana.

Usikose kuangalia #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 kamili ndani ya DStv chaneli 160!