Baada ya kufunga ndoa mbili, kwanza kwa Nandy kijijini nay a pili kwa Doris mjini. Harusi ya Harusi ya Nandy ilikuwa ya kupenza sana wakati harusi ya Doris ilikuwa ya kulazimisha.
Roy alichagua kumpeleka Nandy honeymoon na Doris alibaki nyumbani. Hatimaye Roy na Nandy warudi mjini na kama zawadi ya ndoa Roy alimzawadia Nandy nyumba mpya wakati Doris alijipatia mwenyewe nyumba mpya.
Wote Doris na Nandy hawajui ni nani ambaye ni Jirani wao kwenye nyumba yao mpya. Hatimaye wapata kugundua.
Fuatilia #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!