Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Usaliti wa Sidi ni uchungu wa Kashaulo! – Huba
Video
08 Mei
Devi anajaribu kumwacha Rami kwa uzuri lakini Rami anamshawishi, kisha mahaba yanawapanda! Itakuwaje? Kashaulo naye, anumwa moyo kwa ajili ya siri ya Tesa na Sidi, wajanja wanapatikana! Pata highlights hapa!
Stream on Showmax
Up Next
Mahaba, vita na majadiliano – Slay Queen
08 Mei
Uovu wa Ston – Nyavu
06 Mei
Msimu wa kwanza! – Nyavu
04 Mei
Uwoga, mapenzi na ndoa! – Huba
01 Mei
Mahaba yamechacha! – HUBA
24 Aprili
" Chidi, tusizoeane!" — Huba
17 Aprili
Maudhui Yanayohusiana
Video
JB alazwa hospitali – Huba
Dokumenti za JB zapotea na ataka kujua ni nani nyumbani aliyezichukua. JB aishia hospitali na Sidi ajakumuangalia.
Video
Nelly ni msaliti – Huba
JB bado hamuamini Nelly, na Sidi amuonya Tima.
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.
Video
Doris karudi! –Huba
Doris aridu kwa Roy na aomba kukaa na yeye na Nandy. Jude afukuza Devi na Roy wakati Kibibi aishia kumauonya. Kashaulo bado anafikiri Nicole ni mie wake mbele ya Sidi. Roy naye amfuma Doris akimuombea na Kibibi ataka jinsi ya kumuonyesha JB kwamba Tesa ndiye aliyemuua Ruby.