Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Talaka na Njama katika HUBA highlgihts!

Video
08 Decemba

Tima anampa Dev talaka na kumkimbilia Clay. Huku Clay na Jojo wamepanga Njama. Tesa anajaribu kumshauri Dev lakini hasikii! Jojo anatoa siri ya kazi yake kwa Batuli! Usikose Maisha Magic Bongo yakuletea baadhi ya filamu nzuri kabisa toka Bongowood! Endelea kutizama DStv chaneli 160 Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo