Mwaka wa 2021 uliwaletea watu wengi mioyo iliyovungika. Kuna wanaume walioumiza wake zao na wanawake wanaowapenda sana. Tumekusanya baadhi ya wanaume amabao waliumiza wanaweke kwa jinsi walivyo wachezea mioyo yao. Kwenye orodha hii kuna wanaume wanne ambao tuliwapa kipaombele hapa.Β Bwana Nguzu wa MpaliΒ ana wake saba.Β Edu wa Pazia alikuwa katikati ya wanawake watatu, Regina mke, Sada amabaye alikuwa anamsahidia na Waridi ammbaye aligundua kuwa dada yake.Β Β Roy ana wake wawili, Nandy na Doris, alimua kuwaoa wote na waliishia kukaa sehemu moja. Β Henry alikuwa kati ya mtu na mama yake, ingawa Henry alikuwa hamtaki Eliza, alilazimika kumua wakati akiwa anatembea na Gloria.
Kati ya hawa wote, unadhani ki nani alikuwa 'playboy' mkubwa sana mwaka 2021?
Baadhi ya watazamaji wetu pia walitoa maoni yao:
1.Β darling_miymiΒ - "NGUZU HANA MPINZANIππππππππππ"
2.Β jafviolaΒ - "πππππmzee nguzo ni balaa ametisha sana yan"
3.Β Agnes GeorgeΒ - "Edu alitisha,Maana hata mwenyewe alikuwa hajui anampenda naniΒ "
4.Β Mwanaisha MsangiΒ - "Henry naye kachanganya mama na bintie"
5.Β Hawa LawaΒ -Β "Nguzu wake 7 na hawara juu Joyce kaoa wakabila lake hatosheki mpk na mzungu Nancy uyu kiboko"
6.Β Grace FrankΒ - "Kitu ambacho sikuelewa n kwamba edu anasema hakumbakaga regina cha ajab majib ya dna yanasema mtt n wake duh nachanganyikiwaΒ "
7.Β abalys JabalysΒ - "Ila kuwa km mke mkubwa wa nguzu,Ni kazi unaweza ukapata tuzo hata peponi khaaNguzu kiboko loh!"
8.Β originalmosesilvertzΒ - "π₯π₯henry kibokoo"
9.Β hassan_shabani1- "Mr Nguzu ana wake 7 na mchepuko 1 Joyceπππ'"
10.Β official_phiner87Β - "NGUZUUUππππππππππ"
Angalia kumbukumbu zingine za mwaka 2021:
Β