Kila mtu atabeba msalaba wake – HubaKibibi amlipa Kashaulo kwa kazi aliyofanya ya kumwambia Chidi yuko wapi na mwanae, Angel. Happy aamua kuachana na Chidi wakati Roy amfuma Jude akiwa kwenye deti na Tima wakati akiwa na Nandy. Tesa awekwa hospitali na Devi aulizwa kuhusu mpango wake.