Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Bibi harusi anameremeta – Huba
Video
05 Julai
Wiki hii kwenye #HUBATZ , Uswahilini kumepamba moto, siku ya harusi ndio hii, Kibibi anapata wasisi, Atamkimbia mme mtarajiwa, ndoa itafungwa Tupatane kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku na marudio jumamosi saa 10 kupitia DStv 160 usikose!!
Stream on Showmax
Up Next
Chibu anayo sherehe-Huba
28 Juni
Msanii Alice Kibopile — Kapuni
28 Juni
Msanii Mwambie Falcon — Kapuni
28 Juni
Visa na Vituko - Huba
21 Juni
Majozi ya furaha – Rebeca
20 Juni
Kambona agundua kuhusu Caren – Rebeca
13 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Mwanzo wa #MMBWimbi – Wimbi
Baada ya bibi harusi wake kupotea Harry arudi Swazi kwa mchumba wake wa zamani.
Video
Maria ampa Frank alichokuwa anakitaka– Jua Kali
Tima apata wageni kijijini, Maria ampa Frank kile alichokuwa anakitaka. Thomas naye amuudhi Maria na pia uswazi kuna harusi. Hali ya bibi yazidi kuwa baya.
Video
Harusi ya Devi na Nelly–Huba
JB amwambia Devi kwamba furaha ya Nelly inakuja kabla ya furaha ya mtu yoyote mwingine. Kashaulo aingilia harusi ya Nelly na Devi. Devi agombana na mama yake. Nandy arid nyumbani kumkuta Doris.
Video
Harusi bado inaendelea –Huba
Nicole atoa tarifa kwamba Kibibi ametoka jela na Chidi amuaga Happy kwenda safarini. Jude amlazimisha Tima kukaa ndani, takati Chidi adam Kibibi kumrudishia kazi Tima. Tima naye aamua kumtongoza JB na Tesa amlazimisha Devi kuendelea na harusi.