Logo
Dosari
channel logo dark

Dosari

160Drama16

Waigizaji wa #MMBDosari - Maisha Magic Bongo

Habari
09 Aprili 2024
Pata kujuana na waigizaji wa kipindi kipya cha Dosari
Article

Kipindi kipya cha #MMBDosari kitaanza Jumapili tarehe 20 Aprili saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo. Hapo chini ni baadhi ya waigizaji wa kipindi hiki:

Queen

"Kumbukumbu zingu zimekua pingu kwangu"

Akida

"Mamlaka ndiyo mambo yote"

Amari

"Adui yako anakula nawe meza moja"

Jabari

"Yaliopita sii ndwele tugange yajayo"

Kenzo

"Liwalo na like, mpambano uendele!!"

Nuru

"Penye nia pana njia"

Shasha na Kiki

Dosari
Dosari

Je utaangalia mwanzo wa Dosari?

Ndiyo93%
Hapana7%

Usikose mwanzo wa kipindi hiki Jumapili, tarehe 20 Aprili, saa 3 usiku ndan ya DStv chaneli 160!