Logo
Slim billboard new
channel logo dark

Doli Armaanon Ki

160DramaPG13

Unafanana na muigizaji yupi hapa DOLITZ?

Habari
24 Mei 2018
Ni mugizaji yupi katika orodha ya mastaa wa DOLITZ unaweza kusema munafanana kimaumbile au kwa tabia na mitindo yake?
<p>MMB Doli_Article Image 1600 x 640</p>

Tuanposonga mbele na tamthilai yetu tunayoipenda Doli Armano Ki, mashabik wametoa maoni yao kuhusu washiriki/waigizaji na kujaribu kulet a utabiri wa yatakayotendeka tukiendelea!

Leo, tungependa kuuliza, ni mugizaji yupi katika orodha ya mastaa wa DOLITZ unaweza kusema munafanana kimaumbile au kwa tabia na mitindo yake? Pata habari fupi katika taarifa hii!

URMI SAMRAT:

 • Binti mkarimu na bibi mwaminifu kwa mume wake Samrat
 • Mama ya Shaurya, aliyepata shida nyingi kwa ajili ya kumpenda mwanawe.
 • Mavazi na mitindo yake ni ya kitamaduni na desturi za Kihindi.

SAMRAT SINGH:

 • Bwana mkatili na mwenye nia mbaya kwake Urmi.
 • Mwanume mwenye kiburi na kujishusha mbele ya wenzake.
 • Ni mtu ambaye hana heshima kwa wazazi au familia kwa jumla.

ANUSHKA:

 • Shemeji wa Samrat aliyeolewa na ndugu yake Gorav.
 • Anushka ni mwanamke mwenye roho safi na kuongea ukweli kila wakati.
 • Ni mtu anayependa kusimamia haki za wenye kudhulumiwa.
 • Anushka anamtindo wa kuchekesha sana na mtu mwenye furaha.

SAROJ:

 • Mama wa Urmi na mwanamke aliyeishi Maisha yake yote katika mateso ya wanawake wahindi katika famila.
 • Saroj anashuhudia mateso ya mwanawe Urmi na kushindwa kumtetea.
 • Saroj ni mama aliyejaribu alivyoweza kumchunga Urmi kutokana na ukatili wa Samrat.

ISHAAN:

 • Wakilina Rafiki wa Urmi aliyemsaidia kuepukana na mateso ya ndoa na Samrat
 • Ishaan ni jasirina kumlinda Rafiki yake Urmi sana
 • Ni mtoto wa kuime wa pekee katika familia yake na mama yake anataka kumpangia Maisha yake.

SOBHA MA:

 • Mama yake Samrat. Mwanmke mwenye kiburi na wivu kupindikuia.
 • Alikosa kumfunza Samrat nidhamu na kuishi Maisha ya kukosewa heshima na mwanawe.
 • Analeta ugmovi na chuki katika nyumba yake na kati ya watoto wake. Anavuruga wake wa Vijana wake.

 

GARJAN SINGH:

 • Mjomba wa Samrat, ndugu ya Bwana Singh.
 • Anapat akumjua Urmi na kumpenda sana kama mwanawe. Ni mzee mwenye hekima.
 • Anajua uovu wa sheneji wake Sobha Ma.
 • Hapendi jinsi Samrat anamdhulumu Urmi na familia zao zote.

Basi, shirikiana nasi. Ni nani aliyekaribia tabia na mitindo yako? Usikose kipindi cha leo, saa 12 jioni hapa MMBongo!