Logo
HOMEPAGE BILLBOARD GENERIC copy
channel logo dark

Danga

160Drama16

Lucy ni nani? – Danga

Habari
25 Februari 2022
Kwani Lucy anasema ukweli kuhusu yeye ni nani?
Screenshot 2022 02 10 at 20

Tangu msimu wa Danga ulivyoanza tumekutana na dada mpya anayeitwa Lucy. Lucy alikuja nyumabani kwa Don na mke wake akiwa amejaa majonzi. Alipofika, alipokelewa vizuri na alikaa mpaka Don alivyorudi kutoka kazini ilikuongea nae.

Don ni Tajiri ambae mapolisi wanamtafuta kwa mahusiano yako na wakina Angel, Pipi na Mo. Baada ya kumtambulisha Lucy kwa mke wake, Don amuuliza Lucy kuhusu yeye ni nani. Lucy adai kwamba anatokea kijijini na amekuja mjini kutafuta Maisha. Anadai kwamba yeye ni mama wa mtoto mmoja, na kwamba amemuacha mtoto wake na mama yake. Anadai kwamba hana pes ana anatafuta Maisha ili aweze kumsahidia mwanaye nyumbani pamoja na mama yake. Don aamua kumupoa kwa moyo mzuri lakini mke wake bado ana wasiwasi nae.

Baada ya Doni kugundua kwamba mapolisi wanamtafuta aenda kwa Angel na Pipi ili ajue kama wanaweza kumsahidia na pia kufanya upererezi kugundua taarifa zake zimefikaje kwa mapolisi. Don aanza kuwa na wasiwasi labda ni mmoja wa wafanyakazi wake.

Baadae twajifunza kwamba Lucy ni mfanyakazi wa Angel na alitumwa nyumbani kwa Don ilikuwasihidia wakina Angel na taarifa za Don. Je Don atamgundua Lucy?

Lucy ni nani? - Danga

Je Don atamgundua Lucy? Tuambie hapo chini

Ndiyo85%
Hapana15%

Jiunge nasi kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo kugundua Zaidi.