Logo
channel logo dark

Danga

160Drama16

Inception ya Kibongo – Danga

Habari
17 Januari 2022
Angel aamua kumchezea mchezo wa Inception kwa Bw. Ginimbi!
Screenshot 2022 01 17 at 15

Angel, Pipi na Mo ni watu amabao wanaishi Maisha ya kifahari kwa kutumia njia ya wizi. Kazi yao ni kuwatapeli wa matajiri jijini Dar es Salaam. Hili tendo limeishia kuitwa “inception ya Kibongo” na angel.

Kama haujui Inception ni nini, ni filamu ya Ulaya yenge muigizaji maarufu anayeitwa Leonardo DiCaprio. Filamu hii inahusu kundi ya majambazi amabao kazi yao ni kuibia matajiri pesa. Filamu hii ina fana kidogo na tamthilia ya Kibongo ya Danga ingawa kuna utafauti kidogo:

  1. Dom Cobb ni mwanamke

Kwenye filamu ya Inception, Dom ndiye muongozi wa kundi kili na pia yeye ni mwanamke. Danga inaonyesha utofauti ambao hatujazoa Tanzania, na huo ni mwanamke kuwa muongozi kwenye kazi kama hizi za Danga.

  1. Danga ni kundi la watu watatu tuu

Kwenye Inception, kundi lao ni kubwa Zaidi na watu wanne ambao wanafanya kazi kwa pamoja lakini Dang ani watu watatu tuu na hawaamini mtu mwingine yoyote.

  1. Sio ndoto

Kwenye filamu ya Inception, matukio mengi hayajulikani kama ni ndoto au ni ukweli. Lakini kwenye Danga tunajua kwa uhakika kwamba ni ukweli na sio ndoto na kila mtu ambae wana muibia ni ukweli.

Kumbuka kufuatilia #MMBDanga kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, chaneli 160!