Logo
Chanda
channel logo dark

Chanda

160DramaPG13

Chanda kuanza tarehe 2 Oktoba ndani ya Maisha Magic Bongo!

Habari
20 Septemba 2023
Fuatilia hadithi ya mapenzi, utajiri, na siri za familia kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku!
Chanda

Jumatatu tarehe 2 October saa 1:30 usiku tunakuletea tamthilia mpya ya #MMBChanda. Tamthilia hii inahusu marafiki wawili matajiri walioamua kuoza watoto wao wawili Yaz na Azra. Baada ya Yazna Azra kufunga harusi yao ya kifahari, matatizo makubwa yaanza.

Tatizo kubwa ni kwamba Azra agundua miezi sita baada ya kufunga ndoa kwamba yeye ni tasa na hawezi kumzalia Azra watoto ambayo wataridhi mali na biashara za familia zao. Wazazi wake Azra wakasirika sana, na Azra amlazimisha mume wake kuhama wakati wazazi wake Yaz wakataa kabisa. Wakati huku kwingine Yaz abeba siri zake ambazo mama mkwe wake azigundua na hili jambo la ondoa amani ndani ya familia yao, na mwisho wake Yaz na Azra waishia kupeana talaka na kuachana.

Chanda
Chanda

Utaangalia mwanzo wa Chanda?

Ndiyo83%
Hapana17%

Kama vile tamthilia zikiwa, mwisho sio hapo tuu. Kasheshe zaendelea kuwafuata hata baada ya hiyo talaka kutolewa. Usikose kufuatilia hii hadithi ya ukweli ndani ya DStv chaneli 160 kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku. Pia usikose kujiunganisha na #MyDStv App popote ulipo kuzidi kuburudika na vipindi vyote vya #MaishaMagicBongo.