channel logo dark
Asumanii Vibes ShowPage Billboard
channel logo dark

Asumanii Vibes

160MusicalPG13
Asumanii Vibes

Kipindi cha muziki kinachoendeshwa na DJ Ally B ; anayejulikana kwa ujuzi wa kipekee wa kuchanganya muziki huku akipiga miluzi na kaulimbiu zake za ,'Maneno Machache, Pesa Nyingi!'

S1 | E27
06 Februari 04:00
'S1/E27 of 75'. Maisha Magic Bongo is a general entertainment channel aimed at the Tanzanian market. The channel carries...

PICHA ZA DJ ALLY

DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B image
DJ ALLY B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ Ally B image
DJ ALLY B Image
DJ ALLY B Image
DJ Ally B image

DJ ALLY B

DJ Ally Bi ni mmoja wa DJs maarufu Afrika Mashariki na anajulikana kwa ustadi wake wa kipekee wa kuchanganya muziki, kupiga miluzi na sarakasi za kuchekesha. Ana mazoea ya kutumia matamshi ya,  ‘Maneno Machache, Pesa Nyingi!'  na 'Brothers and Sisters! Ladies and Gentlemen! Nasemaje! Nasemaje!'. Ninauhakika umekutana na maneno hayo kwenye mtandao, sio?Hivo basi, tunakukaribisha kutazama 'Asumani Vibes' kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 11 Jioni ndani ya Maisha Magic Bongo (DStv 160)“Nasemajee! Nasemajeee! Maneno Kidogo, Pesa Nyingi.” 

DJ Ally B analeta vibe kali kupitia Asumanii Vibes

News
22 Januari 2025
Kuna haja ya mapumziko baada ya siku nzima ya mishemishe, na sisi kama Maisha Magic Bongo tunatambua hilo na ndio maana tunakuletea burudani inayonoga kupitia Asumanii Vibes : kipindi cha Muziki kinachoeendeshwa na Mkali wa MaDjs ; DJ Ally B almarufu Asumaniiiiiiiiiii.
Asumanii Vibes Image

Kuna haja ya mapumziko baada ya siku nzima ya mishemishe, na sisi kama Maisha Magic Bongo tunatambua hilo na ndio maana tunakuletea burudani inayonoga kupitia Asumanii Vibes : kipindi cha Muziki kinachoeendeshwa na Mkali wa MaDjs ; DJ Ally B almarufu Asumaniiiiiiiiiii. 

Kipindi hiki kinarushwa kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 11 jioni ndani ya Maisha Magic Bongo na kina malengo ya kukutuliza, kukuburudisha na kukujuza yaliyomo kwenye Dunia ya Mziki, lengo kubwa likiwa kwenye mziki wetu wa hapa Nyumbani Tanzania. 

Kuhusiana na Ally B

DJ Ally Bi ni mmoja wa DJs maarufu Afrika Mashariki na anajulikana kwa ustadi wake wa kipekee wa kuchanganya muziki, kupiga miluzi na sarakasi za kuchekesha. Ana mazoea ya kutumia matamshi ya,  ‘Maneno Machache, Pesa Nyingi!'  na 'Brothers and Sisters! Ladies and Gentlemen! Nasemaje! Nasemaje!'. Ninauhakika umekutana na maneno hayo kwenye mtandao, sio? 

Hivo basi, tunakukaribisha kutazama 'Asumani Vibes' kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 11 Jioni ndani ya Maisha Magic Bongo (DStv 160)

“Nasemajee! Nasemajeee! Maneno Kidogo, Pesa Nyingi.”

Yajayo

Leo
Jumatatu