maisha magic bongo logo

Nkosana Amvisha Pete ya Uchumba Zandile – The Wife

Video17 Novemba

Mapenzi yanapamba moto kwenye The Wife! Nkosana amvisha pete ya uchumba Zandile, lakini je, hatua hii itawaleta karibu au kutengeneza matatizo mapya? Angalia mzozo na furaha zinazoendelea katika familia hii yenye siri nyingi.